Kongamano la kuwaaga wahitimu wetu CHAWAKITASUZA 🔥
wahitimu wametoa shukrani zao za dhati kwa viongozi wapya kufanikisha jambo lao la kuwaaga.
CHAMA CHA WANAFUNZI WAHITIMU WA KISWAHILI WANVYUO VYA KATI NA VYA JUU TANZANIA.
Katika shamra shamra za kuadhimisha siku ya Kiswahili, matawi yaliopo Zanzibar yameandaa kongamano maalum kwaajili ya kuadhimisha siku ya Kiswahili kwa namna ya kipekee.
Matawi kama vile
Chuo cha mwalim Nyerere
Sumeit na SUZA wameandaa safari hiyo kwaajili ya kwenda matemwe kusherehekea siku hiyo.
Kwaajili ya kupata muhtasari wa sherehe hiyo.
Bofya hapa kuona shughuli hiyo ilivofana
bofya hapa kuona tenzi za kiswahili>>>hapa>>>
bofya hapa kupata historia ya chama>

Maoni
Chapisha Maoni