CHAWAKITASUZA tunaandaa safari mbali mbali za ndani na nje ya Zanzibar kwa lengo la kutangaza kiswahili na kukitangaza chama.
Pia safari zinaonesha uhai wa wanachama.
Kuna safari za ndani na nje ya zanzibar.
SAFARI ZA ZANZIBAR
1. MWALIM NYERERE
2.ABDUL-RAHMAN AL-SUMEIT UNIVERSITY.
sumeit wamepata nafasi ya kuwaalika waghani na watunzi mbali mbali wa mashairi wakiwemo
Dokta mashairi
Zero kasorobo
MJUMBE WA KAMATI TENDAJI YA CHAWAKITA-TAIFA Akitangaza chama kwa wanachama wapya matemwe.Ngonjera iliyochezwa na wanafunzi wa chawakita-suza matemwe.


.jpeg)
.jpeg)
.jpeg)
Maoni
Chapisha Maoni