VIKAO

 Baada ya kufanyika kikao cha kwanza cha uteuzi wa viongozi wapya, kikao kidogo cha makabidhiano ya uongozi mpya kilifanyika.



Viongozi pamoja na walezi mbali mbali walihudhuria akiwemo 

Mkuu wa chuo:


 Katika kikao hicho, agenda mbali mbali zilijadiliwa kwa lengo la kukuza na kukipa nguvu chama.

Walezi wetu wameshauri kuwepo kwa ushirikiano baina ya viongozi na kuahidi kutoa msaada pale ambapo chama kitakwama.



Walezi wamesisitiza kufanya kazi katika chama na kuhakikisha chama kinapiga hatua mbali zaidi ya pale kilipofikia.

Pia walezi hao wamekumbusha mambo mazuri walioyafanya viongozi waliotangulia ambapo mambo hayo yalipelekea kukiinua chama cha CHAWAKITA.


Maoni

Chapisha Maoni